Tory Lanez achomwa Visu mara 14 na mfungwa mwenzake Garezani

-rickmedia: Rick

Rick

4 weeks ago
rickmedia: tory-lanez-achomwa-visu-mara-mfungwa-mwenzake-garezani-583-rickmedia

Uongozi wa Rapa Tory Lanez umetoa taarifa za kina juu ya tukio lililomkumba msanii wao akiwa Gerezani siku ya jana May 12,2025 ambapo Rapa huyo alichomwa visu kisha kukimbizwa Hospitali.

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Rapa huyo uongozi umeeleza kuwa Tory alichomwa visu mara 14 na mfungwa mwenzake. Uongozi umeeleza kuwa Tory amechomwa na kisu mara 14 ambapo saba amechomwa mgongoni, mara nne mbele, mara mbili kichwani na mara moja upande wa kushoto wa sura yake.

Tukio hilo lilimfanya Tory ashindwe kupumua kawaida mpaka alipopatiwa msaada wa mashine lakini kwa sasa Rapa huyo anapumua vizuri na kuongea kawaida.