Fahymah amuandikia ujumbe mzito Rayvanny kwenye birthday yake

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

8 hours ago
rickmedia: fahymah-amuandikia-ujumbe-mzito-rayvanny-kwenye-birthday-yake-157-rickmedia

Leo ni kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa ya msanii Rayvanny mama mtoto wake Fahyma amemuandikia ujumbe wa kumtakia kheri katika siku yake hii muhimu.

Fahyma ameelezea namna ambavyo Rayvanny anasimama na familia yake (Kusimama Kama Baba) hata wanapokuwa katika migogoro.