Mwanamitindo Kutoka Marekani Kim Kardashian Anasema Kwamba, Kwasasa Yupo Single Na Watoto Wake Wamekuwa Wakimpa Orodha Ya Mastaa Wa Kutoka Nao Kimapenzi Kama Wachezaji Wa Mpira Wa Kikapu (NBA) Pamoja Na Watengeneza Maudhui Ya Mtandaoni Kama Youtube, Twitch, Tiktok Yani (Streamers).
Kim Ameweka Wazi Hayo Wakati Akiwa Kwenye Interview Na Mtangazaji Wa Kipindi Cha Jimmie Fallon “The Tonight Show” .
Kim Kardashian ana watoto wanne North West (11), Saint West (8), Chicago West (6) na Psalm West,(5) aliowapata kwenye ndoa yake iliyopita na Rapa Kanye West.
Kim Kardashian amewalea watoto wake kwa namna ya mazungumzo kwa maana ya kwamba wanaweza kumwambia chocchote huenda hilo pia limewapa urahisi watoto kumshauri mama yao kuhusu mwanaume wanaomtaka wao aingie naye kwenye mahusiano ya kimapenzi.
 
             
                     
             
        