Walioathirika na maandamano Nepal kusaidiwa, Waziri wa afya aweka wazi

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 hours ago
rickmedia: walioathirika-maandamano-nepal-kusaidiwa-waziri-afya-aweka-wazi-932-rickmedia

Serikali ya Nepal kupitia Waziri wake wa Afya Dr. Sudha Sharma Gautam imetangaza kuwa itawapa msaada wa matibabu ya kisaikolojia bure vijana walioathirika kwenye maandamano ambayo yalipelekea mabadiliko ya serikali nzima ya Nepal

Waziri huyo amesema kuwa vijana walioathirika watapata msaada wa kisaikolojia bure ili wawe safi kwenye kulijenga upya serikal hiyo mpya

Dr Sudha amesema kuwa vijana walipigana kufuta rushwa na hivyo kupotia serikali mpya watatokomeza rushwa na kuhakikisha kila kitu kinafanyika kwa uwazi