Rapa CardiB atangaza kuwa anatarajia kupata mtoto na Mpenzi wake (Steffon Diggs)

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 hours ago
rickmedia: rapa-cardib-atangaza-kuwa-anatarajia-kupata-mtoto-mpenzi-wake-steffon-diggs-909-rickmedia

Rapa Cardi B amefichua kwamba anatarajia kupata mtoto wake wa nne kabla ya kuanza ziara yake ya muziki ya Little Miss Drama mwezi Februari 2026. Hii inamaanisha atajifungua tu na kuanza ziara yake rasmi mara moja.

Cardi B, ambaye tayari ana watoto watatu Kulture (7), Wave (4), na Blossom (1) na mume wake wa zamani Offset, ameimabia CBS Mornings ni furaha kubwa kwao yeye na mpenzi wake Stefon Diggs.

Cardi B anathibitisha ana nguvu, anafanya kazi zote huku akijenga familia.

Mtoto wake wa nne atafika kabla ya ziara yake ya Little Miss Drama, ikionyesha kwamba hakuna kinachoweza kumzuia - kazi, ndoto, na familia zinaweza kushirikiana kwa usawa.