Mtanzania mmoja afahamikae kwa jina la #Beatrice amepata bahati ya kujibiwa na kukubaliwa ombi lake na Rais @samia_suluhu_hassan kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kumuomba amletee zawadi ya Cherehani atakapo toka katika ziara yake ya siku tatu Nchini Indonesia.
Rais Samia kwa sasa yupo Nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya Siku tatu baada ya kualikwa na Rais wa Nchi hiyo Joko Widodo