Diamond ‘Nimetapeliwa Bilioni 4 za manunuzi ya Ndege’

-rickmedia: Rick

Rick

1 month ago
rickmedia: diamond-nimetapeliwa-bilioni-manunuzi-ndege-84-rickmedia

Ni kwa muda mrefu sana mwanamuziki Diamond Platnumz amekuwa akisema juu ya ujio wa Ndege yake binafsi jambo ambalo mashabiki mpaka walianza kuhisi mwanamuziki huyo alisema uongo.

Sasa October 29,2023 Diamond Platnumz amefunguka ukweli kuhusu ndege yake hiyo ambapo amesema kuwa ametapeliwa Bilioni 4 za manunuzi ya Ndege hiyo.

Diamond amefunguka hayo mbele ya waandishi wa habari baada ya kutua akitokea Nchini Kenya

Msikilize hapa chini akifunguka zaidi