Msanii SAPOLOGUANO wa muziki kutoka nchini Kongo ambaye ameuondoa YouTube wimbo wa Jux akiwa amemshirikisha Diamond Platnumz #Enjoy amepiga stori na Rick Media kwa mara ya kwanza na kufunguka zaidi kuhusu uamuzi wake huo ambapo kwa upande wake amedai kuwa ameshamtafuta Jux kuhusu hilo lakini alimdhaaru
Bonyeza picha hii chini kutazama Full Interview