Billnas Adai kwenye Umaarugu Kuna Usaliti,Ushetani Vijana Wamuombe Mungu

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

2 days ago
rickmedia: billnas-adai-kwenye-umaarugu-kuna-usalitiushetani-vijana-wamuombe-mungu-2-rickmedia

Rapa #Billnas ametoa Ushauri kwa vijana ambao wamebarikiwa vipaji na wanatamani kuingia kwenye tasnia yoyote inayohusiana na umaarufu Tanzania kumuomba sana Mungu Uvumilivu na Roho ya kustahimili kwani kwenye umaarufu kuna Ushetani,Dhuluma Usaliti N.k kunzia kwa wadau, Mameneja na Lebo.

William Nicholaus Lyimo (aliyezaliwa 11 Aprili 1993), anayejulikana sana kwa jina lake la kisanii Bill Nass, ni msanii wa muziki wa rap kutoka Tanzania mwenye asili ya Kichagga. Alizaliwa katika Mkoa wa Tanga. MTV Base ilimtaja kati ya "Wasanii 50 wa Kuangaliwa kwa Mwaka 2017". Kwa sasa anaishi Dar es Salaam. Miezi michache baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza uitwao "Raha", Lyimo aliteuliwa kama "Msanii Chipukizi Bora" katika Tuzo za Muziki za Kilimanjaro Tanzania (KTMA) za mwaka 2015.