Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva #GigyMoney Amezidi kumkandia Mwanaharakati wa Mitandano #MangeKimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram Akidai kuwa ni Mnyanyasaji, Katili na mtu ambae yupo kwa maslahi yake binafsi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...
"Tangu uchambwe na Wanaijeria sikuhizi kila ukitoka unajiremba sana bwana 😆😆😆😆😆😆, maana huko walikuita Transgender jamani, yani tangu uchambwe unataka kujiweka vizurivizuri sasa waone wewe kifaa, Unatetea taifa huku unajisexisa halooooo kazi mbilimbili 😆😆, bwana weee ushachelewa, sijui unachekeaga nini watu mchekwa wewe, yani ungejua ungetuliaga tu maana we mwenyewe ni kituko katika highest degree, yote unayosema watu we unayo, huna utu, huna huruma, mdhalilishaji, mnyonyaji na kilakitu wewe, You are so bitter, ila kwanini walikuita transgender jamani nimecheka 😆😆😆😆😆, sema unajua nini, nakuelewa, unajua una kasoro nyingi ndiomana umeamua uchukue njia hiyo ya kuchamba watu ili ufiche madhaifu yako na kujifariji, ila Wanaijeria 😆😆😆😆😆😆
(Kwakifupi Nina wewe) Ila ndio ujirembe transgender jamani 😅"