Binti wa Gardner .G. Habash "Malkia Karen" avishwa pete ya uchumba

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 days ago
rickmedia: binti-gardner-g-habash-malkia-karen-avishwa-pete-uchumba-342-rickmedia

Binti wa marehemu Gardner .G. Habash ambaye ni mwanamuziki wa Bongoflava "Malkia Karen" amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake ambaye ni meneja wake anayefahamika kwa jina la Zack.

Kwa mujibu wa post ya meneja wa Malkia Karen ambaye ni mpenzi wake pia ameweka wazi kuwa historia yao pamoja ya mapambano ya pamoja imeanza tangu miaka 8 iliyopita japo hajaweka wazi kama ndio ulikuwa mwanzo wa mapenzi yao au kuanza kufanya kazi.

Hongera sana kwa wawili hao.