Kama tunakumbuka kulingana na ratiba ya Apple baada ya Kuitambulisha iPhone 17 Tarehe 09 Mwezi huu siku ya jumanne iliyopita,Na Apple wakatangaza kufungua Pre Order siku ya tarehe 12, Siku Ya Leo ambayo ni tarehe 19, Kulingana na ratiba yao ndo siku ambayo Wanawapa wateja wao iPhone 17 waliofanya Pre order tarehe 12..
Hivyo basi siku ya leo kwa Ratiba ya apple ndo siku ambayo iPhone 17 Zinaingia Sokoni Rasmi.
Vipi tayari uliweka oda yako mapema hivyo unatarajia kuipokea simu yako leo?