Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa wakati anawania Urais wa Marekani asilimia kubwa za media zilikiwa zinampinga na kumuandika kwa ubaya.
Trump anasema kuwa ni muda sasa wa media hizo kunyang’anywa leseni.
"Nimesoma kuwa asimilia 97% ya vyombo vya habari vilikuwa vinanipinga wakati nawania Urais. Naona sasa labda tuwafutie lesini za matangazo"