Rihanna na Asap Rock wabarikiwa kupata mtoto wa kike

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 day ago
rickmedia: rihanna-asap-rock-wabarikiwa-kupata-mtoto-kike-416-rickmedia

Mwanamuziki Rihanna Pamoja Na A$ap Rocky Wamebarikiwa Kupata Mtoto Wao Wa Tatu Pamoja. Riri Amehibitisha Hilo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Akiweka Wazi Jina La Mtoto Huyo Wa Kike; ‘Rocky Irish Mauer’, Ambaye Alijifungua Sept 13, 2025.

Wawili Hawa Walibarikiwa Kupata Mtoto Wao Wa Kwanza ‘RZA Athelston Mayers’ (Mei 13, 2022), Wa Pili ‘Riot Rose Mayers’ (Agosti 1, 2023) huyu wasasa anatimiza familia yao kuwa na watoto watatu (3).