Kupitia ukurasa wa Instagram wa Msanii #ChinoKid amethibitisha kuwa kwa sasa yupo fiti baada ya kupata ajali yeye na Madancer wake, Ajali ambayo iliua mmoja.
#Chino ameandika....
"NAWASHUKURU SANA NDUGUZANGU WOTE KWA MAOMBI YENU NIMESHA JICHEKII KILA KITU NIPO SALAMA KABISAA LAKINI NICHUKUWE NAFASII HII KUMSHUKURU BOSS WANGU NAJUWA MENGI NATELEZA LAKINI UNANISAMEE NA KUWA UPANDE WANGU MUDA WOTE MUNGU AKUBARIKI SANA KWA MOYO WAKO WA KIPEKEE ULIKUBALI KUVUNJA MKATABA WAKO NA KUPATA HASARA KUBWA KWAAJILI YA KUJA TANGA KUONA NA KUTUSAIDIA NAKUSHUKURU SANA BOSS WANGU NA NAKUPENDA SANA MY BOSS @marioo_tz YOTE KWA YOTE TUJIFUNZE KUSHURU NA ASANTE MUNGU KWA KUNIPA NAFASI NYINGINE YA KUISHI MAANA KWA HII CHUMA NINAVYOIANGARIA NILIKUWA SITOBOI HATA KWA DAWA 🙏🙏"