Loading...

Chris Brown apagawa na 'Komasava' ya Diamond Platnumz

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 weeks ago
rickmedia: chris-brown-apagawa-komasava-diamond-platnumz-194-rickmedia

Baada ya kuwa na mjadala mtandaoni kuhusu wimbo wa msanii Diamond Platnumz 'Komasava' kutumika kwenye Kombe la Dunia mwaka 2026, wimbo huo umezua mjadala mpya baada ya msanii kutoka nchini Marekani Chris Brown kuucheza wimbo huo (Kufanya Challenge)

Chris Brown amezidi kuonyesha namna ambavyo anavutiwa na muziki wa Afrika na kuonyesha sapoti yake siku zote kwa muziki huu, je tutarajie kolabo kutoka kwa Diamond Plutnumz na Chris Brown?