Rapa T-Pain anunua ndege yake binafsi (Private Jet)

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 day ago
rickmedia: rapa-t-pain-anunua-ndege-yake-binafsi-private-jet-257-rickmedia

Rapa Wa Marekani T-Pain Amenunua Private Jet (Ndege Binafsi) na kuwafanyia Suprise Familia Yake.

Mwaka Jana T-Pain Ali-Sare Video Akiwajibu mashabiki walioshangaa kwanini Alikuwa Anapanda ndege ya abiria badala ya kutumia Private Jet, Hivyo T Pain Aliwaonyesha gharama za kukodi private Jet kutoka Atlanta mpaka Las Vegas Ambapo Kwenda Na kurudi ni dola za kimarekani $126,574 [ Tsh 330,358,140 ], Huku Aksema Kwamba ‘huwezi kutumia pesa nyingi hivi ili kwenda kutafuta pesa zingine na nikifanya hivi mtasema nimeanza kufulia tena hivi karibuni’,

Hivyo Kwa Sasa Rapa Huyu Katika Kupunguza Gharama Ameamua Kununua Ndege Yake Binafsi.