João Cancelo kujiunga na Klabu ya Barcelona akitokea AL Hilal

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 day ago
rickmedia: joao-cancelo-kujiunga-klabu-barcelona-akitokea-hilal-704-rickmedia

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno João Cancelo yupo tayari kujiunga na Barcelona kwa mkopo kutoka Al Hilal

Makubaliano ya mshahara wa mchezaji huyo utakua ni €4 milioni ambayo ni sawa na Bilioni 11.4 za kitanzania.

Al Hilal wametoa ruhusa juu ya mchezaji huyo kwenda kujiunga na klabu ya Barca huku klabu hizo zoye zikitarajiwa kusaini mkataba huo wa mabadilishano ya mchezaji huyo