Loading...

Diamond aheshimu Harmonize kumpa mkono ili kuleta amani

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 month ago
rickmedia: diamond-aheshimu-harmonize-kumpa-mkono-ili-kuleta-amani-250-rickmedia

Baada ya Harmonize kumfuata Diamond na kumpa mkono kuashiria amani itawale na wala hakuna Hard Feeling kati yao, Diamond amesema kuwa aliona ni jambo la busara Harmonize kufanya hivyo kwani siku zote anaamini kuwa mtu aliyewahi kuwa naye karibu hana hadithi mbaya kumuhusu na kama ikitokea kuna mabaya aliyowahi kumfanyia mtu kibinadamu basi ni machache ukifananisha na mazuri ambayo huwafanyia watu, kwahiyo story zingine ni zakutengeneza trend tu ila hawana ubaya.

TAZAMA HAPA CHINI👇