Staa wa muziki nchini Tanzania na Mkurugenzi wa Wasafi Media Naseeb Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz amempongeza Baba Levo kwa ujenzi wa ghorofa anaoendelea nao.
Kuputia Instastory yake Diamond Platnumz amepost video ya Baba Levo akiwa kwenye nyumba yake na kuandika maneno haya "Kwakweli unanifurahisha sana. Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia ufanye makubwa zaidi".