Rais wa Marekani #DonaldTrump ameongelea kuhusu kutoa Msamaha kwa Rapa #Diddy ambae anakabiliwa na Mashtaka kadhaa ikiwemo Biashara ya Binadamu kwa ajili ya ngono.
“Kwanza kabisa, ningeangalia kinachoendelea. Na sijakuwa nikifuatilia kwa karibu,” Trump alisema alipoulizwa iwapo angefikiria kutoa msamaha. Alisema hajazungumza na Combs kwa miaka mingi na akaongeza kuwa hakuna mtu aliyeniomba msamaha huo.