Mwanamuziki Harmonize ameainisha mipango yake ya kuwania tuzo za Grammy mwaka 2026. Harmonize amezungumza na Rick Media kuwa bado mipango hiyo ipo kama alivyopanga na ameshakamilisha nyimbo ambazo anaamini zitamfanya yeye na mpenzi wake Abigal Chams kutajwa kwenye tuzo hizo
Akiwa kwenye Party ya wasanii watakaochuana kwenye tuzo za Trace Awards Harmonize ameiambia Rick Media kuwa tayari ameshakamilisha kolabo na wasanii mbalimbali barani Afrika na nje ya Afrika ili kuhakikisha anatajwa kwenye tuzo hizo
Lakini pia Harmonize ameelezea malengo yake ya kumuoa mpenzi wake Abigail Chams ambapo amesema kuwa mipango hiyo ipo kama ilivyopangwa
Tazama Full Interview hapa chini>>>>>>>>>>>>>>>>