Baada ya kupata mapokezi makubwa hivi karibuni nchini Nigeria Mwanamuziki kutoka Tanzania @juma_jux ataendelea kuwapa tiba ya burudani wakazi wa Nigeria mwezi December 2025
Jux anatarajiwa kutumbuiza mnamo December 18,2025 Akiwaalika wasanii mbalimbali kutoka kila pande ya Afrika huko Jijini Lagos, Nigeria.