Ikiwa bado Tanzania ipo kwenye majonzi makubwa ya kupoteza wapendwa wao ambao waliuwawa siku ya uchaguzi mkuu Mwanamuziki Ibraah yeye ameamua kuja kiutofauti kwa kuwaimba wapendwa waliotangulia mbele za haki.
Ibraah ameachia wimbo wake alioupa jina la 'TUMEWAZIKA' Unaweza kuusikiliza hapa chini