Mpiga Picha wa Millard Ayo afariki Dunia kwa Ajali

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: mpiga-picha-millard-ayo-afariki-dunia-kwa-ajali-635-rickmedia

Mpiga Picha na Mwandishi wa Habari wa Millardayo na Ayo Tv Noel Mwingila (Zuchy) amefariki dunia Alfajiri ya leo Baada ya Kupata ajali ya Pikipikii Maeneo ya Makonde - Mbezi, Dar es salaam ( Chanzo cha Karibu Kimethibitisha).

Zuchy alikua ni mmoja kati ya wapigapicha Mahili kwenye Tasnia ya Habari na Matukio.

Uongozi wa Rick Media Tunatoa Pole Kwa Team nzima Millard Ayo pamoja na Ndugu Jamaa Na Marafiki Wote Walioguswa Na Msiba Huu.

Pumzika Kwa Amani Zuchy Zuchero💔