Kuhusu kupatana kati ya Diamond na Harmonize Rayvanny amefurahishwa sana na hilo na kusimulia hivi "Nilimwambia Harmonize kuwa hakuna sababu ya kugombana na Diamondplatnum Mimi napenda kuweka amani, Niliweza kuitunza amani na Diamond kuna mtu anaweza kusema tunapunguza utamu wa Game lakini si kweli" haya ni maneno ya Rayvanny.
TAZAMA HAPA CHINI 👇🏾