Sophie Amelowa amuomba msamaha Kajala kwa aliyowahi kumuongelea

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: sophie-amelowa-amuomba-msamaha-kajala-kwa-aliyowahi-kumuongelea-867-rickmedia

Sophy anadai alichokifanya kwa Kajala alikuwa anatafuta Kiki tu lakini amegundua alikosea,anafurahi kuona Paulah ametulia na Marioo huku akitamani na yeye siku moja aje kupata mwanaume wake atakaye tulia naye.

TAZAMA HAPA CHINI