TANZIA: MC PILIPILI Afariki Dunia/Ndugu yake afunguka hapa

-rickmedia: Rick

Rick

17 hours ago
rickmedia: tanzia-pilipili-afariki-duniandugu-yake-afunguka-hapa-733-rickmedia

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania MC PILIPILI amefariki dunia akiwa huko Jijini Dodoma. Taarifa hizo zimethibitishwa na mmoja kati ya mwanafamilia ambaye hakusema chanzo cha kifo chake.

Tazama Video hii chini kutazama alichokisema ndugu yake