Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa bendera zote za Marekani zipepee nusu mlingoti kufuatia kifo cha nguli wa muziki nchini humo Dolly Parton.

Trump ametangaza hilo baada ya familia ya nguli huyo wa muziki Duniani kutangaza kifo cha mwanamuziki huyo ambaye amefariki akiwa na miaka 80.
