D Voice atangaza tarehe hii na jina hili la Album yake mpya

-rickmedia: Rick

Rick

1 day ago
rickmedia: voice-atangaza-tarehe-hii-jina-hili-album-yake-mpya-279-rickmedia

Kutoka WCB @itsdvoice ameona asipate tabu kutafuta jina la Album yake mpya, ameuangalia urefu wake akaamua kuutumia kupata jina la Album yake mpya "As Tall as Iam".



D Voice ametangaza kuachia Album hiyo mpya terehe 5.12.2026. Hii ni Album ya pili kutoka kwa D Voice baada ya kuachia "Swahili Kid" mwaka 2023.