Washtakiwa wenza na Young Thug wahukumiwa Jela Miaka 9 mwingine 10

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 days ago
rickmedia: washtakiwa-wenza-young-thug-wahukumiwa-jela-miaka-mwingine-913-rickmedia

Washtakiwa wenza wawili wa Rapa Young Thug, LilRod na Huey wakutwa na hatia na kuhukumiwa mmoja kifungo cha Miaka 10 mwingine 9.

LilRod alikiri shtaka moja la ufisadi na akakubali kifungo cha miaka 10, kilichobadilishwa hadi muda aliotumikia Jela.

Wakati huo huo, Huey, ambaye alikabiliwa na vifungo vitatu vya maisha pamoja na takriban miaka 100, alihukumiwa miaka 9 huku miaka 4 ikitajwa kuwa alitumikia muda.