HATIMAYE: Poshy Queen athibitisha kuachana na Harmonize

-rickmedia: Rick

Rick

2 weeks ago
rickmedia: hatimaye-poshy-queen-athibitisha-kuachana-harmonize-514-rickmedia

Baada ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya kuvunjika kwa mahusiano ya Poshy Queen na Harmonize timaye Poshy amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa ameachana na Harmonize.

Mrembo Poshy Queen amefanya mahojiano na kipindi cha Aplifier cha Clouds Fm na kufunguka kuwa “Hamna sababu ni Muda tu umeisha hata sijui ni Long story tulikubaliana tupeane muda wala hatujagombana”

Wawili hao walianza kutoka kimapenzi toka mwaka 2017 japo mahusiano yao yalianza kuonekana mitandaoni baada ya Harmonize kuachana na Kajala mwaka 2023.