Baba mmoja wa Pennsylvania amefunguliwa mashtaka baada ya mtoto wake wa kiume wa miaka 3 kujipiga risasi na kujiua baada ya kukuta Bunduki iliyoachwa chini ya kochi, kulingana na maafisa.
#JoseHilarioAbreu, 28, alifikishwa mahakamani Ijumaa, Aprili 5, kwa mashtaka ya kuua bila kukusudia juu ya kifo mtoto wake kilicho tokea Machi 28, Elijah Abreu Borgen.