Mwanamitandao ya Kijamii Mange Kimambi amemchana Ibraah kuwa hapaswi kujibizana na Bosi wake Harmonize kwasababu hela ya kulipa ili kuvunja mkataba na lebo ya Konde Gang hana.
Mange ameandika kuwa ni bora Ibraah angekuwa mpole ili Harmonize amuonee huruma amuachia bila kumtoza pesa yeyote.
Tazama hapa chini alichokiandika