Mapacha wawili wajinyonga Pemba kisa kugombana na mama yao

-rickmedia: Rick

Rick

2 hours ago
rickmedia: mapacha-wawili-wajinyonga-pemba-kisa-kugombana-mama-yao-529-rickmedia

Jesho la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba latoa maelezo ya kina kuhusu tukio la mapacha wawili wakike wenye umri wa miaka 11 waliojinyonga huko Pemba.



Akizungumza na waandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, (SACP) William Mwampaghale amesema kuwa taarifa za awali ni kuwa mapacha hao walitofautiana na mama yao baada ya kukataa kufanya kazi za nyumbani. Hata hivyo jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo.