Mohamed Mchengerwa ateuliwa kuwa Waziri wa Afya

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

21 hours ago
rickmedia: mohamed-mchengerwa-ateuliwa-kuwa-waziri-afya-598-rickmedia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mohamed Mchengerwa kuwa Waziri wa Afya.

Uteuzi huo umetangazwa leo Novemba 17, 2025 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.