George Simbachawene ateuliwa na Rais Waziri wa mambo ya ndani

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

21 hours ago
rickmedia: george-simbachawene-ateuliwa-rais-waziri-mambo-ndani-662-rickmedia

George Simbachawene, ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Uteuzi huo umetengazwa leo Novemba 17, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.