Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amewaapisha leo Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri Ikulu Dodoma. Katika Hotuba yake Rais Samia amegusia mambo mbalimbalia kama uchapakazi kwa viongozi huku akiwakiri wazi kuwa yaliyotokea Okt 29,2025 yameitia doa Tanzania kupata mikopo kwenye taasisi za kimataifa.
Mtazame hapa Rais Samia akihutubia zaidi>>>>>>>>>>>>>