Jeshi la ulinzi na usalama nchini Nigeria NSCDC linamshikiria bwn.Ogunsanwo abeokuta, mwenye umri wa miaka 76 Kwa tuhuma za kumpatia ujauzito msichana mwenye umri wa miaka 16.
Aidha akithibitisha kutokea Kwa tukio Hilo, Kamishna mkuu wa masuala ya wanawake na maendeleo ya jamii katika Jiji la Ogun Mhe. Adijat adeleye alithibitisha hili mbele ya wanahabari huko abeokuta ya kwamba mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani ili Sheria ifate mkondo wake
Pia alieeleza kuwa harakati zote za kumkamata mtuhumiwa huyo ni "Ushirikiano kutoka Kwa Taasisii ya maendeleo ya jamii iliyopo Ajisebutu mtaa wa Oba adenaiya ikiongozwa na mkurugenzi wa Taasisi hiyo Olumide fidelis chanzo Cha tukio Hilo ni unyanyasaji wa kijinsia Kwa wasichana wenye umri mdogo "Alisema hivyo kamishna wa Masuala ya wanawake.
(Imeandaliwa na Halfan Mkalinga)