Papa Francis amewapa makasisi wa kikatoliki idhini ya kuwabariki wapenzi wa jinsia moja.

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

1 year ago
rickmedia: papa-francis-amewapa-makasisi-kikatoliki-idhini-kuwabariki-wapenzi-jinsia-moja-357-rickmedia

Papa Francis amewapa makasisi wa kikatoliki idhini ya kuwabariki wapenzi wa jinsia moja.

“Mwenyezi Mungu kamwe hamkatai yeyote anayemkaribia! Hatimaye, baraka huwapa watu njia ya kuongeza imani yao kwa Mungu. Ni mbegu ya Roho Mtakatifu ambayo inapaswa kukuzwa, wala si kuzuiwa,” kulingana na hati iliyotolewa na ofisi ya mafundisho ya Vatikani.