Mbunge Ester Bulaya ammwagia Sifa Rais Samia kutekeleza ahadi zake

-rickmedia: Rick

Rick

1 day ago
rickmedia: mbunge-ester-bulaya-ammwagia-sifa-rais-samia-kutekeleza-ahadi-zake-834-rickmedia

Mbunge wa Bunda Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Ester Bulaya amemwagia Sifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kuendelea mambo yote yaliyoanzishwa na watangulizi wake.

Bulaya ameyasema hayo kwenye Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha kwanza tarehe 27.01.2026. Akikazia zaidi Bulaya amesema kuwa anamatumaini makubwa sana ya Rais Samia kwenda kutimiza ahadi alizozitoa kwa wananchi kipindi cha uchaguzi kutokana na kasi yake nzuri toka aingie madarakani.