Ridhiwani Kikwete ateuliwa Waziri utumishi wa Umma

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 weeks ago
rickmedia: ridhiwani-kikwete-ateuliwa-waziri-utumishi-umma-413-rickmedia

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Jakaya Kikwete ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Uteuzi huo umefanyika hii leo Novemba 17, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma ambapo Naibu Waziri katika Wizara hiyo ni Regina Ndege Kwarai.