Manchester United Wanamtia Aibu Alex Ferguson toka aondoke matatizo

-rickmedia: Rick

Rick

1 month ago
rickmedia: manchester-united-wanamtia-aibu-alex-ferguson-toka-aondoke-matatizo-116-rickmedia

Ni kama makocha wanaojiunga kuifundisha Manchester United wanazidi kuchafua mkeka wa Sir Alex Ferguson kwani toka aondoke rekodi mbaya zinafikiwa.

Kocha huyo ambaye ameifua Manchester United toka mwaka 1986-2013 alifungwa mechi 34 akiwa kwenye uwanja wa Old Trafford kati ya mechi 405 alizocheza.

Baada ya Alex Ferguson kuondoka kwenye klabu hiyo mpaka ndani ya miaka michache Manchester imeshapoteza mechi 34 kati ya mechi 196 walizocheza.