Mshambuliaji wa Taifa Stars, Kelvin John (21), amejiunga na klabu ya AaB Aalborg ya 1st Division nchini Denmark kwa mkataba wa miaka minne, akitokea KRC Genk ya Ubelgiji.
Kelvin ametangazwa na Klabu hiyo huku akitarajiwa kuongeza nguvu safu ya ushambuliaji ya AAB.