Rapa Billnass amezungumza na Rick Media na kufunguka mambo mengi ikiwemo kumshauri Diamond Platnumz kuingia kwenye ndoa na Zuchu, lakini pia tetesi za wasanii wa kiume kushuka kimuziki baada ya kuingia kwenye ndoa.
Si hivyo tu lakini pia Billnass amezungumzia penzi la rafiki yake wa karibu Whozu na Wema Sepetu kuonekana linasuasua. Billnass amegusia alichomshauri Jux siku chache kabla ya kufunga ndoa na mrembo Priscilla wa nchini Nigeria
Mtazame hapa Chini Billnass anafunguka zaidi>>>>>>>>>>>>