Aliyemuua Pop Smoke ameachiwa huru kutoka Jela

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: aliyemuua-pop-smoke-ameachiwa-huru-kutoka-jela-497-rickmedia

Kwa Mujibu Wa TMZ, Mmoja Kati Ya Watuhumiwa Wanne Walioshtakiwa Kwa Mauaji Ya Pop Smoke, J. Christopher Smith Ameripotiwa Kuachiwa Huru Kutoka Jela. Alihukumiwa Kifungo Cha Miaka Minne 4 Na Miezi 2 Baada Ya Kukiri Kuhusika Na Kifo Cha Rapa Huyo.

Kifungo Chake Kimekuwa Cha Muda Mfupi Kwasababu Anatajwa Kuwa Alitenda Kosa Hilo Akiwa Na Umri Wa Miaka 15 Na Hivyo Kutupwa Jela Ya Watoto

Christopher Smith Kwa Kuthibitisha Hilo Ame-Share Picha Katika IG Story Yake Kuonesha Kuwa Yupo Huru Kwa Sasa.

Pop Smoke Aliauwa Februari 19 Mwaka 2020 Kwa Shambulio La Risasi Mjini Los Angeles.