Bad Boys 4 tayari imekamilika, itatoka Juni 7,2024 kwa mujibu wa Will Smith

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

11 months ago
rickmedia: bad-boys-tayari-imekamilika-itatoka-juni-72024-kwa-mujibu-will-smith-902-rickmedia

Habari Njema Kwa Mashabiki Wa Filamu! Kwani Muigizaji Kutoka Marekani Will Smith Kupitia Ukurasa Wake Wa IG Ametangaza Kuwa Filamu Ya "Bad Boys 4" Tayari Imekamilika Na Itaonekana Kwenye Sinema Juni 7 Mwaka Huu 2024.

Filamu ya mwisho ya Bad Boys ilitoka Mwaka 2020 na kufanikiwa kuingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 996.7 kupitia Sinema. 'Bad Boys III' iliwakutanisha Smith na Lawrence miaka 20 baada ya Bad Boys II.