Loading...

Diamond abariki Alikiba kufungua Media yake "Crown Media"

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 month ago
rickmedia: diamond-abariki-alikiba-kufungua-media-yake-crown-media-672-rickmedia

Msanii Diamond PlatnumzĀ Leo ameweka wazi kuwa haoni tatizo kwa wasanii wakubwa kumiliki Media zao kwani inaleta urahisi wa wasanii kuwa na vitega uchumi vingi huku akisifu wazo la Alikiba kufungua Media yake na kuwashauri wengine wafungue bila kusita hata kama ni biashara tofauti na Media.

TAZAMA HAPA CHINIšŸ‘‡