Irene Uwoya atumia zaidi ya Milioni 180 kwenye Filamu yake mpya ya OLEMA

-rickmedia: Rick

Rick

2 years ago
rickmedia: irene-uwoya-atumia-zaidi-milioni-180-kwenye-filamu-yake-mpya-olema-599-rickmedia

Ikiwa zimebaki siku kadhaa kufikia uzinduzi wa Filamu mpya ya Muigizaji Irene Uwoya OLEMA ambayo itazinduliwa September 8,2023 Jijini Arusha Irene amefunguka gharama ambazo amezitumia kuandaa Filamu hiyo iliyofanyika Umasaini Jijini Arusha.

Akizungumza na Rick Media dakika chache baada ya kuwapokea wasanii wenzake ambao watashiriki kwenye uzinduzi wa Filamu hiyo Jijini Arusha Uwoya amesema kuwa Filamu hiyo imegharimu zaidi ya Shilingi Milioni 180 za Kitanzania.

Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la OLEMA ambayo inamana ya KAFARA inamleta tena Irene Uwoya kwenye ulimwengu wa Filamu baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu toka aachie Filamu