Muimbaji, muigizaji na dancer Jennifer Lopez 'J.Lo' ameshea picha yake hii mpya ikimuonyesha yupo GYM mahali ambapo yanafanyika mazoezi ya mwili na kuandika 'ifanye iwe rahisi'
J Lo kwa sasa ana miaka 56 lakini bado anashinda GYM pia yupo 'Flat Tummy' hana kitambi wala vinyama uzembe kama baadhi ya wanawake wengine ambacho kinawapa stress.
Hii inayonyesha kutunza afya ya mwili wako ni muhimu kufanya mazoezi, kuwa na mpangilio mzuri wa chakula ambapo kunaweza kukupa muonekano mzuri hata umri wako unakuwa umeenda.